TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA JUMAMOSI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA JIJI LA MWANZA JUMAMOSI HII


Ben Pol  na Maua Sama wakipagawisha  wakazi wa jiji la Mwanza katika Tamasha  la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumapili katika viwanja vya CCM Kirumba.

Ommy Dimpoz akiburudisha wakazi wa jiji la Mwanza katika vviwanja via Tigo Fiesta mapema jana katika vviwanja vya CCM kirumba usiku wa kuamkia jumapili

Alikba na Ommy dimpoz wakilishambulia jukwaa la Tigo fiesta mapema usiku wa jana katika vviwanja vya CCM kirumba 


GNAKO na JUX wakiwaburudisha maelfu ya wakazi wa Mwanza katika Tamasha la Tigo Fiesta.





Lulu DIVA akiwa na wacheza shoo wake wakitoa burudani ya kukata na shoka.


NanDy akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta mapema jana katika viwanja via CCM kirumba.





Maua Sama naye akilishambulia jukwaa la Tigo fiesta




Msanii wa bongo fleva Rayvanny akiwapa burudani wapenzi wa muziki kwenye tamasha la Tigo Fiesta katika uwanja wa CCM kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia Jumapili.






Rosa Ree akipagawawisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Mwanza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages