Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 apatikana jijini Mwanza - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 apatikana jijini Mwanza

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza, Fatuma Msafiri akiimba wakati wa kumtafuta mkali wa kipaji cha kuimba jijini Mwanza

 Msanii Chipukizi Lusinde Michael a.k.a Real Da Best akionesha umahiri wake wa kufoka foka kwenye mchuano wa kusaka kipaji cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza

Top 2 wakisubiri kutajwa kwa mshindi kati yao.

Majaji wakijadiliana jambo.

Wasanii walioingia Top 4 wakisubiri mchujo wa kuingia top 2.



Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza akibubujikwa na machozi ya furaha mara baada ya kutangazwa kushinda shindano la kusaka vipaji vya kuimba Supa Nyota  msimu huu wa Tigo Fiesta 2017, Pembeni mshindi wa pili Lusinde Michael a.k.a Real Da Best.
Sehemu ya umati uliojitokeza kushiriki Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 jijini Mwanza.
Majaji wakiongozwa na Nickson wakiwa kwenye picha ya pamoja na mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 toka Mwanza Fatuma Msafiri.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages