Mara Paaap! Tigo Fiesta TAMADUNIKA 2017 ndani ya Tabora - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mara Paaap! Tigo Fiesta TAMADUNIKA 2017 ndani ya Tabora

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana

Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana.

Mshehereshaji  wa Tigo Fiesta ‘TAMADUNIKA’  Mc Kicheko akifanya
yake.


Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Mapambano mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora leo.


No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages