Kikundi cha ngoma za utamaduni cha Hekima mkoani Tabora kikionesha umahiri wa kucheza ngoma kwenye maonesho ya kucheza ngoma za utamaduni za Tigo Fiesta Tumekusoma ‘TAMADUNIKA’ kwenye viwanja vya Taasisi(sanamu ya Mwl.Nyerere) Tabora mapema jana. |
Mshehereshaji wa Tigo Fiesta ‘TAMADUNIKA’ Mc Kicheko akifanya
yake.
|
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)