SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUJISHINDIA TUZO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SHIRIKA LA POSTA TANZANIA WAAHIDI MAKUBWA BAADA YA KUJISHINDIA TUZO KWENYE MAONYESHO YA SABASABA

TPC yashinda tuzo ya taasisi za kutoa huduma. Shirika la Posta Tanzania (TPC) limeshinda tunzo ya maonyesho ya Sabasaba kwa taasisi za kutoa huduma. Tunzo hiyo alibabidhiwa Mkurugenzi Mtendaji wa TPC Deo Kwiyukwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dr. John Pombe Magufuli kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba.Picha na Othman Michuzi Media Group

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages