
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia leo asubuhi kwa dhamana ya Shilingi milioni 10 Rais wa TLS, Tundu Lissu
Tundu Antipas Mughwayi Lissu amepata dhamana baada ya ombi la Mawakili wa Serikali kuomba Rais huyo wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) kunyimwa dhamana kutupiliwa mbali na Wilbard Mashauri.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)