News Alert:Tundu Lissu apewa dhamani asubuhi ya Leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert:Tundu Lissu apewa dhamani asubuhi ya Leo


Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia leo asubuhi kwa dhamana ya Shilingi milioni 10 Rais wa TLS, Tundu Lissu

Tundu Antipas Mughwayi Lissu amepata dhamana baada ya ombi la Mawakili wa Serikali kuomba Rais huyo wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS) kunyimwa dhamana kutupiliwa mbali na Wilbard Mashauri.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages