Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa KONCEPT , Mkurungezi Mtendaji wa ROGECH ANIMATIONS &VFX na pia katibu wa Tanzania Blogers Network kwa niaba ya wasomaji wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele.
Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .
Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na KONCEPT
Mwanaharakati Mzalendo Blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com
Mzalendo Times link www.mzalendotimes.blogspot.com
Na hivi karibuni kutazinduliwa KONCEPT TV (ONLINE TV)
Pia unaweza kumfuata Krantz katika mitandao ya kijamii kama
Facebook kwa jina la Mwanaharakati mzalendo https://www.facebook.com/MWANTEPELE
Instagram/ twitter @ mzalendo89
" HAPPY BIRTHDAY KRANTZ "
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)