HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HAPPY BIRTHDAY MWANALIBENEKE KRANTZ MWANTEPELE

Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu  Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji  wa KONCEPT , Mkurungezi Mtendaji wa ROGECH ANIMATIONS &VFX na pia katibu wa Tanzania Blogers Network  kwa  niaba ya wasomaji  wetu tunapenda kukutakutakia maisha marefu na yenye baraka na fanaka tele.

Mungu akupe maisha marefu na kukupa mwongozo sahihi kwa ndoto zako za kuweza kutengeneza ajira kwa vijana wenye nia na ari ya kujiajiri .

Mnaweza kutembelea blog zinazomilikiwa na  KONCEPT

Mwanaharakati Mzalendo Blog link www.mwanaharakatimzalendo.blogspot.com

Mzalendo Times link www.mzalendotimes.blogspot.com


Na hivi karibuni kutazinduliwa KONCEPT TV (ONLINE TV)

Pia unaweza kumfuata Krantz katika mitandao ya kijamii kama
 Facebook kwa jina la Mwanaharakati mzalendo  https://www.facebook.com/MWANTEPELE

Instagram/ twitter  @ mzalendo89


 "   HAPPY BIRTHDAY KRANTZ "

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages