wafanyakazi katika kitengo cha mawasilino cha Airtel wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kufuturu . kushoto ni mkurugenzi wa mawasiliano Beatrice Singano, akifatiwa na Afisa uhusiano Jane Matinde, Meneja huduma kwa jamii , Hawa Bayumi pamoja na Afisa uhusiano na matukio, Dangio Kaniki
wafanyakazi wa Airtel wakipata futari
Sheh hamim shareji maarufu kipoozeo sheikh hilal kipoozeo akitoa mawaidha kwa walioshirikia futari iliyoandaliwa na kampuni ya simu za mkononi ya Airte
Ni mzuri kusherekea kama watu wa company moja ya Airtel. Regards, Peter Oluoch, http://vc.uonbi.ac.ke
ReplyDeleteThanks aitel for your appreciation of the local communities
ReplyDeleteA way to promote one-ness amongst ourselves. also, a humbling experience to anyone who doesnt value family..
ReplyDelete