![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha. |
![]() |
| Wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakijitambulisha katika hafla ya kuwakaribisha iliofanyika makao makuu jijini Arusha. |
![]() |
| Mmoja wa wafanyakazi wa EAC,Beata Mukabaranga(kushoto) |
![]() |
| Mratibu wa Habari katika Sekretariat ya EAC,Florian Mutabazi(kushoto),Afisa Habari Mwandamizi wa bunge la Eala,Bob Odiko na wadau wengie wakiwa katika hafla ya kuwakaribisha wafanyakazi wapya wa jumuiya hiyo. |
![]() |
| Mkurugenzi mpya wa Miundombinu wa EAC,Kamugisha Kazaura akitoa neno la shukrani |
![]() |
| Wadau wa EAC wakipata mapochopocho |











No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)