Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo
Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo
Wageni wilayani Muheza Mkoani Tanga wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo
MKUU wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga (RAS) Mhandisi Zena Saidi katikati anayefuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza (DAS) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa wakipata futari iliyoandaliwa na mkuu huyo wa wilaya
nyumbani kwake.
nyumbani kwake.
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo kulia kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu huyo wa wilaya.
Baadhi ya waalikwa wakipata futari hiyo
Baadhi ya wageni waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo
Wageni waalikwa wakipata futari nyumbani kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza.
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Muheza,Makame Seif katikati akiwahudumia wageni waalikuwa kwenye futari hiyo anayepokea chai ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mathew Mganga
Waalikwa wakipata futari hiyo wa pili kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa wilaya ya Muheza,MathewMganga
Wageni waalikuwa kwenye futari hiyo katikati ni Amina Omari Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Mkoa wa Tanga na kulia ni Mariam Shedafa kutoka Azam TV Tanga
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa katikati akiwa na wageni wengine wakishiriki kwenye futari hiyo ambayo iliandaliwa na Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo
Mkuu wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo
akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia mwitikio wa futari hiyo
akizungumza na waandishi wa habari ambapo alitoa shukrani kwa kuitikia mwitikio wa futari hiyo
Mkuu wa wilaya ya Muheza,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akiagana na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika futari hiyo. Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)