Muhitimu wa elimu ya juu, akisoma kipeperushi chenye maelezo ya shughuli
zifanywazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakati wa mahafali ya pili ya
kitaifa ya wahitimu wa elimu ya juu waliofanya vizuri kwenye vitivo vyao
mwaka 2016.Mahafali hayo yaliyowaleta pamoja zaidi ya wahitimu 100
yalidhaminiwa na Mfuko huo na kufanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar
es Salaam Mei 19, 2017

Baadhi ya wahitimu hao wakiimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa mahafali
Bw. Chacha Nyaikwabe, Meneja Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu udhamini wa PSPF kwenye mahafali hayo. Bw. Chacha alisema, PSPF imeamua kudhamini mahafali hayo kwa vile inajua fika, wahitimu hao ni watu muhimu wa kujiunga na Mfuko huo na kwa hali hiyo Mfuko umepata fursa ya kuwaeleza shughuli mbalimbali zifanywazo na PSPF ikiwa ni pamoja na kusajili wanachama na Mafao yatolewayo na Mfuko huo kwa Mwanachama.
Rais wa TAHILISO, akizungumza kwenye mahafali hayo. Mahafali hayo yameratibiwa na TAHILISO. Kulia ni mgeni rasmi,
Margareth Komba, Naibu Mkurugenzi Elimu ya Juu Sayansi na
Ubunifu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na kushoto ni mwakilishi kutoka PSPF, Bw.Nyaikwabe.
Ubunifu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, na kushoto ni mwakilishi kutoka PSPF, Bw.Nyaikwabe.
Mgeni rasmi Bi. Margareth Komba, Naibu Mkurugenzi Elimu ya Juu Sayansi na Ubunifu, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akizungumza wakati wa mahafali hayo
Wahitimu wakifurahia hotuba
Wahitimu wakisikilzia kwa makini kilichokuwa kikiendelea
Muhitimu akisoma kipeperushi chenye maelezo ya shughuli zifanywazo na PSPF
Wahitimu wakiwa kwenye matembezi ya mahafali ya kitaifa ya pili ya wahitimu wa elimu ya juu chini Tanzania.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)