Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya HakiElimu, Profesa Martha Qorro akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk. Jovita Katabaro (kushoto) akizungumza katika mjadala mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Kulia ni Dk. Bashiru Ally ambaye pia ni Mhadhiri wa UDSM. Profesa Kalafunja Osaki akizungumza katika mjadala mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam. Mmoja wa wadau wa elimu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Wadau mbalimbali wa HakiElimu wakiwa katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Mmoja wa wadau wa elimu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Mmoja wa wadau wa elimu na mwanahabari nguli, Jenerali Ulimwengu akishiriki mjadala wa wazi mara baada ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. MC na muongozaji mjadala toka HakiElimu akifafanua jambo katika uzinduzi wa ripoti hiyo. Kiongozi wa timu ya watafiti, Dk. Richard Shukia akijibu baadhi ya hoja toka kwa wadau waliohudhuria uzinduzi wa utafiti wa HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Mkurugenzi Matendaji wa HakiElimu, John Kalage akizungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya utafiti wa HakiElimu juu ya utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam. Wadau mbalimbali wa HakiElimu wakiwa katika uzinduzi wa ripoti ya utafiti uliofanywa na taasisi ya HakiElimu kuangalia utekelezaji wa sera ya Elimu bure kwa Shule za Msingi nchini Tanzania.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)