All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa
Pages
▼
Update:Inasemekana Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana wapo Kituo cha Polisi cha Osterbay
Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa msanii wa Bongo fleva Roma Mkatoliki na wenzake wamepatikana na wapo katika Kituo cha Polisi cha Osterybay. Taarifa zaidi zitakujia
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)