Update:Inasemekana Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana wapo Kituo cha Polisi cha Osterbay - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Update:Inasemekana Roma Mkatoliki na wenzake wapatikana wapo Kituo cha Polisi cha Osterbay

Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa msanii wa Bongo fleva Roma Mkatoliki na wenzake wamepatikana na wapo katika Kituo cha Polisi cha Osterybay. Taarifa zaidi zitakujia

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages