MAKAMU WA RAIS CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) SHAMIRA MSHANGAMA AKUTANISHA WADAU KUJADILI DHANA YA “MWANAMKE NA UONGOZI” UDSM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (DARUSO) SHAMIRA MSHANGAMA AKUTANISHA WADAU KUJADILI DHANA YA “MWANAMKE NA UONGOZI” UDSM

 
AliyekuwaMgeni Rasmi katika kongamano hilo lililo andaliwa na Makamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi wa   Chuo Kikuu cha Dar es salaam Bi. Shamira Mshangama Mh. Sophia Mjema  akitoa nasaha zake kwa wote waliohudhuria katika kongamano hilo lililofanyika katika Ukumbi wa Nkurumah Chuo kikuu cha Dar es salaam.
  Makamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es salaam Bi.  Shamira Mshangama akieleza kwa ufupi juu ya Kongamano hilo na
Kumkaribisha Mkurugenzi wa Maswala ya Jinsia Chuo Kikuu Cha Dar es
salaam Dkt. Kafanabo

Mkurugenzi wa Maswala ya Jinsia Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Dkt.
Kafanabo akielezea kwa undani juu ya jinsia na uongozi katika kongamano
hilo
 Mkurugenzi
Mkazi wa Asasi ya Kiraia ya Global Peace Foundation(GPF) nchini
Tanzania Bi. Martha Nghambi akielezea shughuli za asasi hiyo na nafasi
ya mwanamke katika uongozi.
Meneja
wa Benki ya NMB PLC tawi la Chuo Kikuu cha Dar es salalaam Bi. Rehema
Mwibura akielezea safari yake ya uongozi mpaka hapa alipofikia sasa na
kuwaatha vijana wakike wasikate tamaa kwa kuwa wanaweza.
 Mwanachama
wa zamani wa USRC Bi. Yunge Kanuda akiwasihi vijana wanawake kuwa
wanayo nafasi ya kugombea ngazi mbalimbali za uongozi hivyo wanatakiwa
wathubutu ili waweze kushika nyadhifa mbalimbali.
Washiriki wa Kongamano hilo wakifuatilia kwa makini mijadala mbalimbali inayoendelea
Aliyekuwa Spika wa Bunge la USRC kwa mwaka 2014/2015 Protus Petro akielezea juu ya uongozi 
Aliyekuwa
Makamu wa Rais wa Serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es salaam
Irene Ishengoma na aliyeshiriki Shindano la Maisha Plus 2016 akielezea
mambo mbalimbali yanayowahusu wanawake na kuwasihi kuto bweteka kwa kuwa
wanaweza.
 Baadhi ya Washiriki wa Kongamano hilo wakiuliza maswali na kuchangia mawazo katika Kongamano hilo.
 Mwanzilishi na Rais wa Taasisi ya wanafunzi wanawake kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam Consolata Chikoti akifuatilia kwa makini mijadala ikiendelea.
 Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema (wa nne kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na waliokuwa wazungumzaji wakati wa Kongamano hilo.
  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema (wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya Kongamano la Wanawake na Uongozi
  Mh. Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mh. Sophia Mjema (wa nne kutoka kushoto) kwa waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi wa Serikali ya wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es salaam.
 Picha ya pamoja ya viongozi kutoka maeneo mbalimbali ikiwa ni Asasi,vyuo na shule shule mbalimbali
Washiriki wakiwa katika Kongamano hilo.
Picha zote na Fredy Njeje

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages