Wafanyakazi wa Airtel wakiitambulisha sokoni ofa ya Hatupimi Bando leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Wafanyakazi wa Airtel wakiitambulisha sokoni ofa ya Hatupimi Bando leo

Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Isaack Nchunda (kulia), akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha  huduma hiyo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa Mfanyabiashara katika Soko la Shekilango Ubungo, Godwin Rwekubya, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha  huduma hiyo.
Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Robert Sanyagi (kushoto), akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha  huduma hiyo.

wafanyakazi wa Airtel katika picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages