UPDATES: MSIBA WA INNOCENT WAPALILA, KAKA WA MARIACONSOLATA NA HONEST WAPALILA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UPDATES: MSIBA WA INNOCENT WAPALILA, KAKA WA MARIACONSOLATA NA HONEST WAPALILA



Mwili wa Marehemu utawasili nchini kutokea Leeds, Uingereza siku ya Ijumaa tarehe 31/03/2017 majira ya saa nne usiku.

Taratibu zote za mazishi zitafanyika tarehe 01/04/2017 Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam mtaa wa Almasi nyumba namba 7, Kuanzia saa tatu asubuhi.

Ibada ya kuaga mwili wa marehemu itafanyika katika Kanisa Katoliki la Mt. Gasper, Mbezi Beach, Tangi bovu jijini Dar es salaam.

Mazishi yamepangwa kufanyika Jumamosi 01/04/2017 katika Makaburi ya Kondo, Bahari Beach jijini Dar es salaam. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages