News Alert:Kituo cha Mafuta Tegeta chawaka moto asubuhi hii - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

News Alert:Kituo cha Mafuta Tegeta chawaka moto asubuhi hii

Kituo kimoja cha mafuta kilicho karibu na benki ya NBC na Chuo cha Amazon Tegeta kimewaka moto asubuhi hii mara baada ya gari lililokuwa likishusha mafuta kituoni hapo kuwaka moto. Chanzo cha gari kulipuka na kusababisha kituo hiko cha mafuta cha mafuta kilichopo tegeta kuwaka moto bado hakijajulikana.Taarifa zaidi zitakujia mara tu baada ya kupatikana

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages