Kituo kimoja cha mafuta kilicho karibu na benki ya NBC na Chuo cha Amazon Tegeta kimewaka moto asubuhi hii mara baada ya gari lililokuwa likishusha mafuta kituoni hapo kuwaka moto. Chanzo cha gari kulipuka na kusababisha kituo hiko cha mafuta cha mafuta kilichopo tegeta kuwaka moto bado hakijajulikana.Taarifa zaidi zitakujia mara tu baada ya kupatikana
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)