Mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano, Airtel, Bi Beatrice Singano Mallya (wa pili kushoto), akiwakaribisha Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Franky Filman akitoa maelezo kuhusu mitambo ya mawasiliano ya simu kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, walipofanya ziara ya mafunzo katika Makao Makuu ya kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam jana.
Meneja kitengo cha network wa Airtel Tanzania, Joseph Mwaikambo akiwaonyesha baadhi ya wajumbe wa kwa kamati ya kudumu ya Bunge miundombinu vifaa mbalimbali vya mawasiliano wakati walipotembelea kituo cha mtandao kilichopo makao makuu ya Airtel Morocco
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)