Watumishi Wawili Wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanashikiliwa na vyombo vya dola wakituhumiwa kujihusisha na upitishaji Wa kemikali ambazo hutumika kutengenezea dawa za kulevya aina ya Heroin.
Kukamatwa kwa watumishi hao wa umma kumetangazwa leo na Kamishina Wa Operasheni ya Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya Mihayo Msekela.
Kamishina wa Oparesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,Mihayo Msikhela akifafanua japo alipokuwa akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali mapema leo,katika ofisi za Mamlaka hizo zilizopo Upanga,jijini Dar Es salaam kuhusiana na Operesheni za kuwakamata watuhumiwa waliojihusisha na biashara haramu ya usafirisha wa dawa za kulevya hapa nchini,ambapo katika Oparesheni hizo zinazoendelea nchini,ilionesha mafanikio kwa baadhi ya mikoa kama taarifa inavyoonesha hapo chini.PICHA NA MICHUZI JR.
Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Kamishina wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,Mihayo Msikhela alipokuwa akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali mapema leo,katika ofisi za Mamlaka hizo zilizopo Upanga,jijini Dar Es salaam kuhusiana na Operesheni za kuwakamata watuhumiwa waliojihusisha na biashara haramu ya usafirisha wa dawa za kulevya hapa nchini
Kamishina wa Operesheni wa Mamlaka ya Kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,Mihayo Msikhela akifafanua japo alipokuwa akizungumza na baadhi ya Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali mapema leo,katika ofisi za Mamlaka hizo zilizopo Upanga,jijini Dar Es salaam kuhusiana na Operesheni za kuwakamata watuhumiwa waliojihusisha na biashara haramu ya usafirisha wa dawa za kulevya hapa nchini,ambapo katika Operesheni hizo zinazoendelea nchini,ilionesha mafanikio kwa baadhi ya mikoa kama taarifa inavyoonesha hapa chini.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)