Je, kwa wale wanaotumia vilevi kama bia, unajua kuwa chupa moja ya bia unatakiwa kunywa kwa saa moja?
Tumsikiliza mtaalam wa Daktari wa Afya ya Jamii na Familia Dr Ali Mzige hapa chini akizungumza na The Beauty TV juu ya suala hilo na usisahau ku-subscribe kupata updates zaidi.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)