Majambazi wawili wameuawa leo huku mwanamke mmoja aliyekuwa dereva akijisalimisha kwa vyombo vya usalama. Inadaiwa majambazi hao walitaka kuvamia jengo la ofisi ya Milvik ambapo inasemekana walitaka kuwapora pesa raia wa china. Tukio hilo limetokea maeneo ya Mikocheni karibu na Shule ya Feza Sekondari.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)