MAMA SAMIA ATOA DARASA KUBWA LA SIASA KWA WANA CCM KASKAZINI B UNGUJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SAMIA ATOA DARASA KUBWA LA SIASA KWA WANA CCM KASKAZINI B UNGUJA


 Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu  ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Samia Suluhu Hassan akihutubia wakazi wa mkoa wa Kaskazini B, Unguja  wakati wa  Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo


 Wana CCM wa Kaskazini B wakiwa wamejitokeza kwa  wingi kwenye mafunzo ya Uongozi yaliofunguliwa na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa 


Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu  ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Samia Suluhu Hassan.


Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na Mjumbe wa Kamati Kuu  ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Samia Suluhu Hassan akifundisha kwa vitendo masuala ya Uongozi kwa wakazi wa mkoa wa Kaskazini B, Unguja 


wakati wa  Kufungua Mafunzo maalum ya Viongozi na watendaji wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake wa ngazi ya Matawi, Wadi na Majimbo.


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kaskazini ,Unguja, Ndugu Juma Haji akihutubia kabla ya kumkaribisha Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Kaskazini na


Mjumbe wa Kamati Kuu  ya CCM Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.  Samia Suluhu Hassan kufungua mafunzo maalum ya Uongozi yaliofanyika  Mkokotoni Kaskazini B,Unguja kwenye Chuo cha Amali.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani Mzee Ali Ameir nyumbani kwake Donge Kichavyani, Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages