Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akipokea Washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro walipofika katika lango la Marangu,Kippi akisalimiana na Brigedia Jenerali Jairo Mwaseba. |
Meneja wa Kampuni ya Utalii ya Zara Adeventure,Rahma Adam akisalimiana na Brigedia Jenerali ,Jairo Mwaseba wakati wa mapokezi yaliyofanyika katika lango la Marangu. |
Baadhi ya Washiriki wa changamoto ya upandaji Mlima Kilimanjaro baada ya kushuka kutoka kilele cha Mlima Kilimanjaro. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Waioba akimkabidhi Cheti cha kupanda Mlima Kilimanjaro,Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi,Jenerali Mstaafu George Waitara. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti Mwandishi wa Habari wa Star Tv ,Ramadhan Mvungi baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Uhuru umbali wa mita 5895 kutoka usawa wa bahari. . |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti Mwandishi wa Habari wa gazeti la Mtanzania ,Arusha,Eliya Mbonea baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania Daima,Charles Ndagulla mara baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Pascal Shelutete mara baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi makimkabidhi Cheti Askari wa Jeshi la Ulinzi ,Pte,Joyce Kaila baada ya kufanikwa kufika katika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi akimkabidhi Cheti Askari wa Jeshi la Ulinzi,Ally Said baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti ,Mwandishi wa Habari ,Idd Uwesso baada ya kufanikiwa kufika kilele cha Stella. |
Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba akimkabidhi Cheti ,Mhifadhi Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mlia Kilimanjaro,Charles Ngendo mara baada ya kufanikiwa kufika katika kilele cha Uhuru. |
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu ,Jenerali George Waitara na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na askari wa jeshi la ulinzi waliofanikiwa kupanda mlima Kilimanjaro. |
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu ,Jenerali George Waitara na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na Waandishi wa Habari waliofanikiwa kupanda mlima Kilimanjaro. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)