MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AENDELEA KUFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA KULINDA AFYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AENDELEA KUFANYA MAZOEZI KWA AJILI YA KULINDA AFYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akifanya mazoezi ya viungo kwenye viwanja vya makazi yake jijini
Dar es salaam ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni yaKitaifa ya kudhibiti
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016
katika viwanja vya Leaders Club.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni yaKitaifa ya kudhibiti  Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016  katika viwanja vya Leaders Club.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Ally Hapi na Mwenyekiti wa Serikali za  Mitaa Oyster bay Ndugu Zefrin Lubuva pamoja na wasaidizi wake ikiwa sehemu ya kuendeleza kampeni  ya Kitaifa ya kudhibiti 
Magonjwa yasiyo ya kuambukiza  aliyoizindua tarehe 17 Desemba, 2016 katika viwanja vya Leaders Club.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages