Bwana harusi, George Raphael na mkewe Victoria Mollel wakiwa katika pozi la tabasamu baada ya kufunga pingu za maisha katika Kanisa la Ushirika wa Ubungo, Lutherani ibada hiyo ya ndoa iliyoongozwa na Mchungaji Godliste Nkya
Biharusi, Victoria Mollel katika pozi
Bwana harusi, George Raphael
Bwana na Biharusi wakiwa katika pozi baada ya kufunga pingu za maisha
Maharusi katika Picha ya familia ya pande zote mblili
Maharusi na wapambe katika picha ya pamoja
Mmoja wa wapambe katika pozi
Victoria Mollel akipunga mkono akiondoka Kanisani baada ya kufunga pingu za Maisha na mpendwa mume wake, George Raphael nakuelekea kupiga picha katika eneo la Chuo Cha Sheria Sinza Jijini Dar es Salaam, ambapo Sherehe ilifanyika katika Ukukumbi uliopo hapo hapo katika Chuo hicho
Maharusi katika pozi wakisaidiwa na wapambe wao kwa kushika shera ya biharusi
Bwana harusi George Raphael na Victoria Mollel wakiwa katika pozi
Biharusi, Victoria Mollel katika picha ya pamoja na familia ya pande mbili, kushoto ni mama Mzazi wa Biharusi Victoria Mollel , Julieth Mollel
Ka
Biharusi Victoria Mollel akiwa Saloon
Wapambe wa maharusi Imanuel Zakayo na mkewe Daisy Mbowe wakiwa katika picha ya pamoja ambao ni mke na mume
Mchungaji Godliste Nkya akiwakabidhi Cheti cha Ndoa baada ya kufunga pingu za Maisha
Wazazi na wapambe wakitoka Kanisani baada ya kufunga pingu za maisha
Maharusi wakikata Keki
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa kampuni ya KM Express Photo Studio na Mmiliki wa ujijirahaa blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)