WIMBO MPYA WA KABAGO AKIWA NA HARDMAD-TANZANIA WATOKA RASMI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WIMBO MPYA WA KABAGO AKIWA NA HARDMAD-TANZANIA WATOKA RASMI.

Mkongwe wa Hip Hop nchini Kabago ameachia rasmi hii leo wimbo wake uitwao Tanzania akiwa na mkongwe mwenzake Hardmad, wimbo unaitwa Tanzania. 
Kupitia BMG sikiliza wimbo huo maana ni wimbo bora.
Bonyeza HAPA Kuupakua au bonyeza Play hapo chini kusikiliza.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages