RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE AMTUMIA UJUMBE MAALUM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS WA CONGO BRAZZAVILLE AMTUMIA UJUMBE MAALUM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia

Suluhu Hassan akipokea ujumbe maalum kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazavile Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo Mhe. Jean Claude Gakosso (kushoto), Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi ya Congo Brazzaville Mhe. Jean Claude Gakosso (kushoto) ambaye alimkabidhi Makamu wa Rais wa Ujumbe Maalum wa Rais John Pombe Magufuli kutoka kwa Rais wa Congo Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso, Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages