Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika
Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa Juan Sainz Borgo (wa tano kutoka kulia) aliyetoa somo juu ya amani na ambaye ni mmoja wa viongozi wa chuo cha Amani Umoja wa Mataifa
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo maalum wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia
Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Makao Makuu ya Umoja wa Afrika walipofanya ziara ya mafunzo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)