Baadhi ya Viongozi wenye Kampuni za Ulinzi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akipokea risala kutoka kwa mmoja wa wahitimu , Asma Rajabu (kushoto) wakwanza kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa
Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa akifatilia jambo kwa umakini
Luteni, Nelson Ponera akiangalia vijana wake wanavyo jituma mbele ya mgeni rasmi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa katikati) akizungumza jambo wakati akifunga mafunzo ya Mgambo kundi la 54/16 yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam, ambapo 482 wamehitimu Mafunzo hayo, kulia ni Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja, Dorah Kawawa na Luteni, Nelson Ponera
Mmoja wa wahitimuwa wa mafunzo hayo akionyesha umahiri wake kwa kucheza karate
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jitegemee wakifuatilia kwa makini
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa haraka
Gwaride likipita mbele ya mgeni rasmi kwa mwendo wa pole
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati alipokuwa akifunga mafunzo ya mgambo
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya Mgambo yalio fanyika Dar es Salaam
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva (wa pili kulia) akikagua gwaride la Mgambo wakati wa kufunga mafunzo hayo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam, wa kwanza kulia ni Kasim Kiambwe na Luteni, Nelson Ponera
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix Lyaniva (kushoto) akisalimiana na Kaimu Kamanda Kikosi cha 831 KJ Mgulani JKT Meja Dorah Kawawa wakati wa kufunga mafunzo ya Mgambo yaliyofanyika viwanja vya JKT Mgulani Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)