HONGERA MKURUGENZI, MTANGULIZE MUNGU MBELE , BADO UNAYO SAFARI NDEFU ILI KUPATA MAFANIKIO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HONGERA MKURUGENZI, MTANGULIZE MUNGU MBELE , BADO UNAYO SAFARI NDEFU ILI KUPATA MAFANIKIO

iv1
Bwana John Bukuku Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog na Mama Mkurugenzi kushoto wakimpongeza Mkurugenzi Mtarajiwa wa Fullshangwe Ivone John Bukuku mara baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ngazi ya cheti kwenye chuo cha Saint Grory College Of Health and Allied Sciences jijini Dar es salaam katika ndoto yake ya Uuguzi kabla ya kuendelea na hatua nyingine ya mafunzo hayo.
iv2
Ivone akipozi kwa picha
iv3
Mkurugenzi John Bukuku na Mkurugenzi mtarajiwa Ivone wakipozi kwa picha.
iv4
Mkurugenzi mtarajiwa akipokea pongezi kwa simu mkurugenzi mwenza wa Fullshangwe ambaye yuko shule Kilimanjaro na hakuhudhuria mahafali ya dada yake.
iv5
Mkurugenzi mweza Diana John wa pili kutoka kulia yeye amempongeza mkubwa wake kwa hatua hiyo japo walipongezana kwa njia ya simu tu akiwa shuleni.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages