Ziara ya Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini nchini Tanzania - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Ziara ya Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini nchini Tanzania

Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini, Mhe.Christopher Kourakis (kushoto) akisoma kitabu kinachohusu Chama cha Majaji Wanawake   Tanzania  wakati alipotembelea ofisini kwa Mwenyeji wake Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman.
Jaji Mkuu wa Australia  ya Kusini, Mhe. Christopher Kourakis (kushoto), akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia) katika ofisi ya   Jaji Mkuu wa Tanzania, iliyopo kwenye jengo la Mahakama ya Rufani Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mhe. Jaji Kourakis yupo nchini kwa ziara ya siku tatu yenye lengo la kujenga ushirikiano katika utendaji kazi wa Mahakama baina   ya nchi hizo mbili. Kushoto ni Bi. Emma Gorman, Katibu wa Jaji Mkuu wa Australia Kusini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages