Yaliyojiri siku ya familia ya TBL Moshi Malting Plant - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Yaliyojiri siku ya familia ya TBL Moshi Malting Plant

 Wafanyakazi pamoja na familia zao katika burudani mbalimbali
 Muda wa chakula
 Watoto wakiburudika
Wafanyakazi wa kampuni ya kiwanda cha TBL cha mjini Moshi walijumuika na familia zao katika siku ya Familia iliyofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya Weru Weru River Lodge.
Kulikuwepo na burudani za kila aina kuanzia michezo ya aina mbalimbali ya wakubwa na watoto,burudani ya muziki,maakuli ya kila aina bila kusahau mambo ya kata mti panda mti.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages