Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Group Gareth Jones wa pili (kushoto) akimkabidhi Meneja Masoko wa TBL Fimbo Butallah cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 15 kazini wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi wa muda mrefu iliyofanyika Ilala jijini Dar es Salaam,wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chibuku David Cason na Meneja wa Kiwanda cha bia cha Ilala Calvin Martin
Rose Mhina akipokea cheti cha kutimiza miaka kumi kazini
Sophia Nkya akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 10 kazini
Calvin Nkya (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
Mkurugenzi Mtendaji wa DarBrew David Cason (kushoto) akimkabidhi Tito Kasele cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
Mtaalamu wa Uzalishaji bora wa TBL Group Charles Nkondola akipokea cheti cha kutimiza miaka 20 kazini
Mfanyakazi,Tom Matechi,akipokea cheti kwa utumishi wa miaka 20
Bw.Fabian Mwakatuma (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
Conchesta Ngaiza akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
John Malissa akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group waliotunukiwa vyeti kwa kufanya kazi muda mrefu wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo wafanyakazi wake waliotumikia kampuni kwa muda mrefu na kwa uadilifu katika vipindi vya kuanzia miaka kumi hadi 20 kwa kuthamini mchango wao walioutoa kwa kampuni.Hafla ya kuwakabidhi vyeti vya tuzo ilifanyika katika kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)