Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL) mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi katikaHOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam |
Wageni waalikwa katika hafla hiyo wakifurahia jambo |
Meneja Masoko wa SBL Anitha Msangi akitoa ufafanuzi wa safari ya bia ya serengeti premium lager toka ilipoanzishwa miaka 20 iliyopita ikiwa ni ubunifu wa mtanzania Winston Kagusa |
Burudani maridadi ikiendelea wakati wa tafrija hiyo |
Baadh ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wakiifuatilia kwa makini uzinduizi wa muoenkano mupyaa wa Serengeti Premium Lager |
Wadau wakipozi katika picha ya chui ambayo ni nembo ya bia ya serengeti |
Wadau wakifurahia muonekano mpya wa bia ya Serengeti Premium lager |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)