RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA FOOD PRODUCTS LTD. MKURANGA, MKOA MKOA WA PWANI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESSA FOOD PRODUCTS LTD. MKURANGA, MKOA MKOA WA PWANI LEO

 Waziri wa viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage (kushoto) na katibu Mkuu wake Dkt. Adelhelm Meru wakiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group Mzee Said Salim Bakhressa wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Mkurugenzi Mkuu wa makampuni ya Bakhressa Bw. Abubakar Bakhressa (kushoto) akibadilishana mawazo na maafisa waandamizi wake wakati wakimsubiri Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
 Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akilakiwa na  Mwenyekiti wa makampuni ya Bakhressa Group  Mzee Said Salim Bakhressa kwenye sherehe za ufunguzi wa kiwanda cha kusindika matunda cha Bakhressa Food Products kijijini Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Oktoba 6, 2016
..

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages