PLATINUM CREDIT TANZANIA YACHANGIA MAAFA YA KAGERA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PLATINUM CREDIT TANZANIA YACHANGIA MAAFA YA KAGERA


Afisa masoko Platinum Credit Tanzania, Gideon Lufunyo (kushoto) akikabidhi msaada wa mifuko 300 ya saruji  ambayo ni sawa na tani 15 kwa Mkuu wa Mkoa wa  Kagera, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu ikiwa ni msaada wa taasisi hiyo kwa waathirika wa tetemekonla Ardhi mkoani humo.

Kampuni ya Platnum Credit Tanzania Leo imekabidhi msaada wa mifuko 300 ya sumenti kwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali mstaafu Salum Kijuu kwa ajili ya waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni mkoani humo.



Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo leo, Ofisa Masoko wa Kampuni hiyo,Gideon Lufunyo  alisema  tetemeko hilo limeleta madhara makubwa ambayo yamewagusa na kuamua kusaidia serikali katika kurejesha miundombinuyake hasa katika mshule katika hali nzuri ili masomo yaendelee na watoto wapate elimu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages