Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Mwamunyange atembelewa na Mkuu wa kikosi cha Anga cha Zimbambwe - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Mwamunyange atembelewa na Mkuu wa kikosi cha Anga cha Zimbambwe

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri (wapili kushoto), alipotembelea Makao Makuu  ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri, alipotembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa ziara ya kikazi nchini.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages