MAENDELEO BENKI YAFUNGUA TAWI JIPYA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAENDELEO BENKI YAFUNGUA TAWI JIPYA


   Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama na Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Naftal Nsemwa.


  Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akiwaongoza wageni waalikwa katika maeneo mbalimbali ya tawi jipya la Mwenge,  Dar es Salaam lililozinduliwa jana.


 Wageni waalikwa katika hafla fupi ya ufunguzi wa tawi jipya la Maendeleo Benki la Mwenge wakiwa katika picha ya pamoja mara  baada ya ufunguzi wa tawi hilo mapema jana


   Baadhi ya wateja wakipata huduma za kibenki katika tawi la Maendeleo
Benki lililofunguliwa leo jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama akipata huduma katika tawi jipya la benki hiyo baada ya uzinduzi Mwenge, Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages