
Leo saa tatu usiku kupitia channeli 111 Sibuka Maisha inayopatikana katika king'amuzi cha Startimes pekee inakuletea filamu mpya kabisa ya NGOMA NGUMU ambapo utapata nafasi kuiona kwa mara ya kwanza kabla ya kuipelekwa sokoni.Kuwa wa kwanza leo kuitazama
Filamu hii itarudiwa pia siku ya Jumamosi Saa tisa Mchana na Jumapili saa Tatu usiku
Lipia kifurushi chako sasa upate kufurahia uhondo na startimes





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)