KUNDI LA MWANAGATI YETU WATAMBULISHANA NA KULA BATA LA NGUVU GOLDEN PARIS PUB DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUNDI LA MWANAGATI YETU WATAMBULISHANA NA KULA BATA LA NGUVU GOLDEN PARIS PUB DAR ES SALAAM

nso1
Mwenyekiti wa Mwanagati Yetu Group Bw Harold Urio akisoma hotuba katika sherehe ya kuwakutanisha na kufahamiana kwa wanakikundi hao iliyofanyika kwenye ukumbi wa Golden Paris Pub Mwanagati Manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, Sherehe hiyo imefanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
nso2
Mgeni mwalikwa katika sherehe hiyo Diwani wa Kata ya Mzinga Ndugu Job Isack akitoa nasaha zake kwa wanakikundi wa Mwanagati Yetu.
nso3
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwanagati Ndugu Chacha Momba akizungumza katika sherehe hiyo kulia ni Injinia Josephat Kyando aliyekuwa MC wa Sherehe hiyo na mtunza hazina wa kamati ya sherehe
nso4
Injinia Cyprian Luhemeja ambaye pia alikuwa mgeni mwalikwa akitoa nasaha zake kulia ni Injinia Kyando.
nso5
Mwendeshaji wa kundi la Mwanagati Yetu Group Bw. Awene Nsolo akijitambulisha mbele ya wanakikundi.
nso6
Wageni wakipata chakula.
nso7
Viongozi wa kundi wakipata chakula kutoka kulia ni Godwin Kaaya, Jackton Ochieng na Awene Nsolo.
nso8
Mmoja wa wanakikundi Bw. Geofrey Tengeneza akijitambulisha kwa wanakikundi wenzake.
nso9
Bwana Imani Lwinga aka Serengeti akijitambulisha pia.
nso10
Viongozai na kamati ya maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja.
nso11
Baadhi ya wanakikundi wakijadiliana jambo wakati wa sherehe hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages