Video: Nimekusogezea Wimbo mpya wa Daimond Uiitwao Salome mwenye ladha ya kitamaduni ya Kihaya - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Video: Nimekusogezea Wimbo mpya wa Daimond Uiitwao Salome mwenye ladha ya kitamaduni ya Kihaya

Wimbo mpya wa Daimond unaoitwa Salome Kiukweli mzuri kwasababu umechukuliwa kutoka kwenye toleo la Saida Kalori uitwao Salome. Ameupatia na Kuonyesha kuwa uwezo anao.

Ushauri wangu Sehemu aliyomshirikisha Ray angemshirikisha Saida Mwenyewe kwasababu ya kupata ladha halisi yenyewe ya kihaya ambayo kwa sauti ya Kihaya ya Saida ingeleta ladha tamu sana kuliko ya ray.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages