Leo tutaangalia aina za mbwa...Kuna aina zaidi ya 151 za mbwa yaani kwa kiingereza tunaita BREED. Kutokana na kuwa na zaidi ya breed 151 nitazitaja kwa uchache tu baadhi lakini pia katika hizo baadhi nitataja zile zilizo common au maarufu sana hapa nchini kwetu na hizi ni baadhi tu ya breeds, Affenpinscher, Alaskan Malamute, American Pitbull Terrier, American Water spaniel, Barbet, Belgian Tervuren, Basenji, Belgian Malinois, Berger Picard, Caanan Dog, Germany Sherpherd, Rottweiler, Dobberman Pinscher, Bulldog na nyingine nyingi tu.

Hii ni moja ya breed iitwayo Affenpinscher.
Lakini Zifuatazo ni Aina maarufu zaidi hapa kwetu Tanzania kama vile Rottweiller, Doberman Pinscher, Bulldog, Germany Sherpherd, Belgian Malinois, Labrador Retriever na Maltese........... Kesho tutaanza kujadili aina sita za Mbwa kwa kuanzia
1: Doberman Pinscher 2: Rotweiller 3: Bulldog 4:Germany Sherphed 5: Labrador Retriever 6: Maltese
1: Doberman Pinscher 2: Rotweiller 3: Bulldog 4:Germany Sherphed 5: Labrador Retriever 6: Maltese
Unataka kufahamu Doberman Anafananaje? Na Je anatabia zipi basi ungana nasi Kesho Mida kama Hii
Kwa kujifunza zaidi na zaidi nifollow katika ukurasa wangu wa Instagram kwa jina la @lukazablog @lukazablog @lukazablog lakini pia Wataarifu na wengine na Pia Somo hili litakuwa linakujia kupitia Lukaza Blog Stay Tuned.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)