TAHADHARI: Kwa watumiaji wa barabara ya Mbezi Beach Kawe Chini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TAHADHARI: Kwa watumiaji wa barabara ya Mbezi Beach Kawe Chini

Hali inavyoonekana eneo hilo la barabara 
Daraja linalojengwa
TAHADHARI; Kwa wanaotumia barabara ya mbezi beach ( kawe chini ) kwa muda huu mwisho ni round about ya kwenda whitesands hotel, pale panapojengwa daraja jipya maji yako bize yanaganya makeke saizi, ule uzio wa ujenzi umeshaanguka nusu na sasa maji yanaondoka na kifusi cha ile kalavati ya muda iliokuwa inatumika. Mlioko mjini jitahidini kurudi mapema huenda option ikawa ni bagamoyo road pekee , sijui huo mziki wake utakuaje.....

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages