
Moja
ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege
Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere saa sita na robo juu alama leo
Septemba 20, 2016.

Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho
na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu,
na maofisa wengine wakisubiri kuwasili kwa Moja ya
Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege
Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo
Septemba 20, 2016



Moja
ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege
Tanzania (ATCL) ikipata saluti ya maji (Water Canon Salutation) toka kwa magari
ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji mara tu bada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere saa sita na robo juu alama leo
Septemba 20, 2016


Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho
akisalimiana na Rubani aliyerusha Ndege mpya moja kati ya mbili zilizonunuliwa na
serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) ikiwasili katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
saa sita na robo juu alama leo Septemba 20, 2016.


Katibu
Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho
na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial Aircraft Bw. Pardeep Sandhu,
na maofisa wengine wakiwa kwenye Moja ya Ndege mpya mbili
zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege Tanzania (ATCL) mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo Septemba
20, 2016



Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho
akipeana mikono kwa furaha na Mkurugenzi wa Kampuni ya Bombadier Commercial
Aircraft Bw. Pardeep Sandhu mara baada ya
Moja
ya Ndege mpya mbili zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya kampuni ya ndege
Tanzania (ATCL) kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius leo
Septemba 20, 2016, Wengine ni marubani wa ndege hiyo

PICHA
NA IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)