
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)