Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa  wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye  waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa  Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.CHANZO BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages